Shughuli za bunge la taifa Kenya zilisitishwa Jumatano baada ya mbunge wa kiti cha wanawake kaunti ya Kwale kuingia bungeni na mtoto wake. Bwana Christopher Omulele, ambaye alikuwa anahudumu kama ...
Walisema pia wamepata vyombo vilivyotumika na mabaki ya chakula. Baadhi ya wabunge walijaribu kuvipeleka vyombo hivyo bungeni kabla ya kipindi kuanza lakini maafisa wa usalama walivinyakua.
Waziri wa Maji, Juma Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mha. Mwajuma Waziri wamekutana na Balozi wa Hungary mwenye makazi ...
IKIWA zimebaki siku mbili kuanza kwa uandikishwaji wa wananchi Daftari la Wakazi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (C ...