Phenny Awiti ni muathiriwa wa ugonjwa wa ukimwi kutoka nchini Kenya. Ni hali ambayo aliigundua mwaka wa 2008 akiwa katika kidato cha pili wakati wa programu ya kupimwa ugonjwa wa ukimwi shuleni ...