Waziri wa Maji, Juma Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mha. Mwajuma Waziri wamekutana na Balozi wa Hungary mwenye makazi ...
Ubunifu huo umekuja kutokana na hatua ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuonyesha roboti Eunice wakati ilipokuwa ikiwasilisha hotuba ya bajeti yake bungeni Dodoma, Mei mwaka huu ...
Chama cha upinzani nchini Tanzania, kimehoji uhalali wa waliokuwa wanachama 19 wanawake wa chadema kusalia bungeni baada ya kuvuliwa uanachama. Naibu Katibu wa chadema upande wa Tanzania Bara ...
Shughuli za bunge la taifa Kenya zilisitishwa Jumatano baada ya mbunge wa kiti cha wanawake kaunti ya Kwale kuingia bungeni na mtoto wake. Bwana Christopher Omulele, ambaye alikuwa anahudumu kama ...