BALOZI wa Uganda nchini Tanzania, Kanali (mstaafu) Fred Mwesigye amevutiwa na utekelezaji wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi ...
Na Mwandishi Wetu, Lindi Wakulima wa korosho mkoani Lindi wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake katika kuinua bei ya korosho, jambo lililowaletea manufaa ...
NAIROBI, Kenya: NAIBU Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ameendelea kujitetea tangu jana na tena leo anaendelea na utetezi wake bungeni kwa kujenga hoja zinazochagizwa na ushahidi wa video. Gachagua ...
Naibu wa rais nchini Kenya Rigathi Gachagua amesema kwamba atawasili bungeni hii leo ili kujitetea. Naibu huyo ambaye anakabiliwa na hoja ya kumuondoa madarakani amesema kuwa atawasili mbele ya ...
Akizungumza punde tu baada ya kuwasili bungeni , Gachagua amesema kwamba madai ya umiliki wa hoteli ya Olive Garden jijini Nairobi, Vipingo Beach Resort iliopo Kilifi and Queens Gate Serviced ...
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua maadhimisho ya mwezi wa huduma wa kwa wateja huku ikijivunia mafanikio mbalimbali ikiwemo maboresho makubwa ya huduma zake yanayolenga kukidhi mahitaji ya ...
Ubunifu huo umekuja kutokana na hatua ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuonyesha roboti Eunice wakati ilipokuwa ikiwasilisha hotuba ya bajeti yake bungeni Dodoma, Mei mwaka huu ...