WIKIENDI hii Yanga na Simba zina mechi za kuamua hatma zao katika michuano ya kimataifa kila mmoja akipambania rekodi zake. Wakati wakipambania rekodi, kuna matumaini makubwa yapo kuanzia kwa ...
SWALI kubwa ambalo mashabiki wa Simba wanajiuliza kwa sasa ni kwamba ujio wa winga mpya, Elie Mpanzu pale kikosini ni mchezaji gani anakwenda kumpisha? Hiyo inatokana na namna ambavyo walivyokiona ...
Simba inatupa karata muhimu leo nyumbani dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya ikihitaji ushindi wa aina yoyote ili iweze kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya timu hizo kutoka ...
Kama ulidhani ni utani, basi utakuwa unakosea, kwani Wekundu wa Msimbazi, Simba wameamua msimu huu kufanya yao na wakati wowote watamtangaza winga mpya, Elie Mpanzu ambaye inadaiwa amevuta mkwanja wa ...
WAKATI timu yao ikitarajia kucheza mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli kesho, klabu ya Simba imemshusha winga, Elie Mpanzu nchini kwa ajili ya kumalizana naye ...