Linet chepkorir ‘Toto’, anakuwa Mwanamke mwenye umri mdogo zaidi kuwa mwakilishi Bungeni. Hii ni kazi yake ya kwanza kabisa, Anatoka katika familia yenye uwezo wa hali chini, akiwa ni mtoto wa ...
Shughuli za bunge la taifa Kenya zilisitishwa Jumatano baada ya mbunge wa kiti cha wanawake kaunti ya Kwale kuingia bungeni na mtoto wake. Bwana Christopher Omulele, ambaye alikuwa anahudumu kama ...