BALOZI wa Uganda nchini Tanzania, Kanali (mstaafu) Fred Mwesigye amevutiwa na utekelezaji wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi ...
Ubunifu huo umekuja kutokana na hatua ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuonyesha roboti Eunice wakati ilipokuwa ikiwasilisha hotuba ya bajeti yake bungeni Dodoma, Mei mwaka huu ...
Chama cha upinzani nchini Tanzania, kimehoji uhalali wa waliokuwa wanachama 19 wanawake wa chadema kusalia bungeni baada ya kuvuliwa uanachama. Naibu Katibu wa chadema upande wa Tanzania Bara ...
Shughuli za bunge la taifa Kenya zilisitishwa Jumatano baada ya mbunge wa kiti cha wanawake kaunti ya Kwale kuingia bungeni na mtoto wake. Bwana Christopher Omulele, ambaye alikuwa anahudumu kama ...