KIUNGO mshambuliaji wa Namungo, Hassan Kabunda ni miongoni mwa wachezaji wachache wa Ligi Kuu Bara ambao hawajapita mitaa ya Msimbazi na Jangwani.
Bashiru anasema kwa siku anazalisha kati ya gunia 10 mpaka 15 ya mkaa anayouza Sh2,000 hadi Sh7,000. Anasema iwapo atapata ...
Kuna msemo wa Kiswahili usemao ‘kitu ukikipenda utakifanya kwa moyo na kutamani kupata matokeo chanya katika kile ...
Shule ya Msingi Fahari Elite iliyopo Mvuti Dar es Salaam imesema imebuni programu mbalimbali kwa lengo la kuibua na kukuza vya michezo. Akizungumza Novemba 2,2024 wakati wa bonanza lililofanyika ...
KWAMBA kuna uwezekano wa mtoto wa Kitanzania katika umri wa miaka 17 akafanya mambo kama ya Lamine Yamal? Ni jambo gumu kufikirika. Amezaliwa Julai 2007 na tayari ni staa wa soka duniani kote.
SERIKALI imeipongeza Shule ya Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam kutokana na mafanikio ya kitaaluma na mchango wake kwa ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Finland Elina Valtonen amesema "wakazi wote" wa Palestina kaskazini mwa Gaza "wako katika hatari ya ...
Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani nchini kenya Proffesa Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa naibu rais mpya wa kenya ...
Afisa mmoja wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, anasema kuongezeka kwa uhasama nchini Lebanon kati ya ...
DAR ES SALAAM: SHULE zinazosimamiwa na Shirika la Uzalishaji Mali Nchini (SUMA JKT) chini ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Tecknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mshikamano na waandishi wa habari hapa nchini umeweza ...