Hisia za mashabiki wa soka Tanzania zitaelekezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ambako kutachezwa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga kuanzia saa 11 jioni ikiwa ni ya mzunguko ...
Simba imemaliza unyonge dhidi ya Yanga kwa mwaka huu baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam uliochezwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika ...